Akizungumzia maisha yake ya uhusiano mbele ya mwanahabari wa GPL, Kabula alisema anajivunia kuzaa na Chuz lakini kwa kuwa yeye hakupanga kuolewa na prodyuza huyo mkongwe, ni bora aoe kwani umri unamtupa mkono.
- “Chuz aoe tu sasa umri umeenda. Tena akioa mimi nitacheza muziki balaa siku hiyo, si unajua mambo yangu. Mbaya zaidi sina kabisa wivu naye,” alisema Jini Kabula.
0 comments:
Post a Comment