Kama ulikuwa na mbali na Radio yako ukapitwa na U Heard kwenye XXL ya leo January 30, Soudy Brown alikuwa na story kuhusu tetesi za uhusiano uliopo kati ya Producer wa MJ Records, Marco Chali na staa wa Bongo Movie, Jackline Wolper.
Gossip Cop alimtafuta Jackline Wolper lakini hakupatikana kwenye simu, alipomtafuta Marco Chali alikataa kujibu chochote kuhusu tetesi hizo ila alimjibu Soudy kwamba itabidi amtafute ili wafanye Interview kabisa kuhusu ishu hiyo.
Isikilize U Heard yote kwenye hii sauti hapa, bonyeza play. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment