Mwanaume wa kwanza, nilikutana nae kidato cha tano lakini baada ya
matokeo kidato cha sita aliniacha eti kwa sababu mimi nimefauru hivyo
chuo lazima nitamsaliti nilimsihi sana kwa sababu niliamini,kuna maisha
zaidi ya elimu but ugomvi kila siku nikaamua kuachana nae japo
tulipendana sana.
Mwanaume wa pili huyu alinipenda sana lakini kumbe alikuwa na mtu
mwingine before ambae ni rafiki yangu nae hakutambua kuwa mimi na yule
dada ni marafiki.
Lakin baada ya kungundua alinambia anamuacha coz ni kweli alinipenda
nikamweleza mimi namuacha coz sipendi zaidi, aendelee na rafiki yangu na
nilimuacha.
Mwaume wa tatu huyu nilianza nae nikiwa second year first semister,
kijana ni mchaga jamani wachaga wanapenda asikwambie mtu nilienjoy aisee
huyu kaka, kaka alipenda mpaka kasahau kusoma na course yake ni ngumu
kisa kakolea mapenzini akadisco mwaka wa 3.
Kaenda kitaa na bado alinipenda zaidi kumbe huyu kaka nae ni yatima
hivyo alikuwa anasomeshwa na mdada ili baadae waoane kaka kakutana na
mimi kasahau fadhila za yule dada.
ATM ya mdada mimi niliishi nayo na kuchukua pesa nitakavyo bila kujua ni
ya mwanamke jamani huruma. Kijana kafeli kaenda kwa mdada wake lakini
bado anawasiliana na mimi.
Siku ya siku mdada kanitafuta analia vibaya mno jamaa kamwambia hampendi
ananipenda mimi kwa kweli niliona machozi ya yule dada yananiletea
mkosi, nilimwacha japo mpaka sasa ananipenda sikuweza kuendelea nae
sitaki ni muongo.
Mwanaume wa 4, jamani huyu ni Dk hosipital 1 hapa Dar jamani, kaka
sikujua ni mhuni kiasi hiki, ajabu alinipenda mpaka sikuweza kutambua
tabia yake.
Kila akisema anataka kujitambulisha home moyo wangu ulisita sana, jamani nilimfumania, nikamwacha.
Sasa kumbe sikujua ameniweka moyon na alinitegemea kuwa mke now
ninavyosema alichanganyikiwa mpaka alikosea kumtibu mgonjwa kamletea
matatizo alisimamishwa kazi. Ila karudishwa now mimi sikumuhitaji sio
mwaminifu angenisumbua sana.
Mwanaume wa tano huyu alikuwa anaishi Marekani kule alienda kimasomo
,kumbe tayari alikwisha oa ila waliachana na mkewe baada ya miaka 3 tena
kaoa kwa taratibu za kikanisa, mimi sikujua kabisa, alinipenda sana but
ukweli hawezi kuoa tena kwa taratibu za kikanisa ila mtaishi kama
wazinifu tu,pia sikumumini sana.
Mwanaume wa sita, jamani before sijampata mwanaume huyu kwanza nilikaa
miaka 3 single, nilimuomba mungu sana msamaha na kuvunja mikosi, sasa
mimi nilibadilishwa na kuwa mwingine.
Tena roho mtakatifualizidi kukaa ndani yangu na hata sasa, nilipata mume
na sasa nimeolewa, mume wangu nampenda na ana hofu ya mungu.
Ushauri, mume bora hutoka kwa mungu , na acha historia yako ya nyuma
wala isikuumize wanaume waoaji wapo, tena ukiomba kwa kumaanisha
0 comments:
Post a Comment