Kwa mara nyingine tena serikali sikivu ya Kikwete imefanya kweli kwa kuiba fedha takribani Billion 200 za Tanesco BOT.
Gavana wa BOT amefunguka na kudai kuwa alishinikizwa ili kuzitoa fedha hizo.
CCM inaendelea kutafuna nchi hii, Kikwete mpaka aondoke lazima tutakuwa hohehahe.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment