Kama wewe ni mpenzi wa kufuatilia video za bongofleva Godzilla anatualika leo kwenye hii video yake mpya ya ‘First Class’ ambayo amemshirikisha mrembo kutoka bongoflevani Mwasiti, ukishaitazama video hii hapa chini usisahau kuniachia comment yako, wakali hawa wataiona hapa.
VideoMPYA: Godzilla na Mwasiti ‘First Class’
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment