Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » PICHA & VIDEO: Mastaa wa Liverpool walivyotuonesha jezi mpya watakazotumia 2016/2017

PICHA & VIDEO: Mastaa wa Liverpool walivyotuonesha jezi mpya watakazotumia 2016/2017

Klabu ya Liverpool ya Uingereza imeamua kutoa rasmi jezi zao mpya ambazo tutegemee kuwaona wakizitumia katika mashindano mbalimbali msimu ujao ikiwemo Ligi Kuu Uingereza, baadhi ya mastaa wa Liverpool waliokuwepo katika utambulisho wa jezi hizo ni Jordan Henderson, Philippe Coutinho na Simon MignoletCiCM2vjWUAApwlD
Imekuwa kawaida kwa vilabu vya Ulaya kubadilisha muundo wa jezi kila msimu ila rangi ya asili ya jezi zao inabaki palepale, Liverpool tayari wametuonesha jezi mpya za msimu na tegemea kuziona wakizitumia msimu wa 2016/2017.
CiCM2v7WMAAiJfS
CiCM2uTWsAEi9Tv
CiCM2sMWEAAf04V
Mastaa wa Liverpool wametuonesha jezi zao mpya katika hii video 


WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips