(PJ) pamoja na Abel Onesmo Jumamosi hii wametambulishwa rasmi EFM. |
Mkurungenzi wa EFM Radio, Francis Siza ‘DJ Majay’ (kushoto) Paul James (PJ) pamoja na Gerald Hando
Utambulisho huo umefanyika katika sherehe za shindalo la Shika Ndinga 2016 zilizofanyika Mbagala Zakhiem jiji Dar.
Kupitia ukurasa wa EFM, wameandika:
Utambulisho wa wanafamilia wapya wa @efm_93.7@geraldhando @pjpauljames @abelonesmo #TUNALISONGESHA#huumchezohauhitajihasira
Tazama picha za utambulisho huo.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment