Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Masanja Mkandamizaji na Wenzako..Vengu Yupo Wapi na Anaendeleaje Kiafya?

Masanja Mkandamizaji na Wenzako..Vengu Yupo Wapi na Anaendeleaje Kiafya?

Leo Nimesoma Makala moja katika Gazeti fulani wakimuongelea Msanii Vengu Ambae alikuwa Original Comedy kabla ya kuanza kuugua Mwaka 2009 kiasi cha kupelekwa India kupata matibabu, Gazeti hilo wamesimulia jinsi walivyofanya juhudi za kumtafuta kijana huyo ili kujua anaendeleaje baada ya miaka mitano sasa ya ukimya..lakini bila mafanikio hawakuweza kupata lolote la maana kuhusu alipo ama afya yake.....

Masanja na Wenzako wa Original Comedy sisi Washabiki wa Vengu tunataka kujua alipo na hali ya yake kiafya kwa sasa...Tumemmiss....... WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips