Dudubaya amesema hao ni kenge wasioelewa maana ya maskani na daima atabaki kuwa mamba.
Maneno ya Dudubaya yamekuja siku chache baada ya baadhi ya majirani zake kupitia EATV kusema amefulia na anashinda maskani muda wote jambo ambalo jamaa amelikanusha vikali.
Amesema Watu lazima wajue siyo kila maskani ni mbaya.sometimes anakwenda maskani kubadilishana mawazo na washkaji na kupata ideas mpya za nyimbo akitoa mfano kuwa nyimbo nyingi zake zilizohit enzi hzo alipata idea zake maskani.kila MTU hata wanasiasa wana maskani,alisema Dudubaya WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment