Siku moja baada ya CCM kuadhimisha miaka 39 tangu kuzaliwa kwake, kada mkongwe na muasisi wa chama hicho, Pius Msekwa amesema kuna haja ya kufanya mabadiliko ndani ya chama hicho hasa muundo wa halmashauri kuu ya taifa. Amtaka Jakaya kikwete afanye mabadiliko kabla ya kumpa kijiti Rais Magufuli.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Home »
Pius Msekwa
» Pius Msekwa Amfungukia Jakaya Kikwete ...Amtaka Aondoke na Mifumo yake Kabla ya Kumkabithi Magufuli
Pius Msekwa Amfungukia Jakaya Kikwete ...Amtaka Aondoke na Mifumo yake Kabla ya Kumkabithi Magufuli
Siku moja baada ya CCM kuadhimisha miaka 39 tangu kuzaliwa kwake, kada mkongwe na muasisi wa chama hicho, Pius Msekwa amesema kuna haja ya kufanya mabadiliko ndani ya chama hicho hasa muundo wa halmashauri kuu ya taifa. Amtaka Jakaya kikwete afanye mabadiliko kabla ya kumpa kijiti Rais Magufuli.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment