Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, mpashaji wetu alisema Esma na Petit kwa sasa wako katika mapenzi motomoto na hivi karibuni walionekana pamoja wakiwa nyumbani kwa Wema Sepetu na mtoto wao, Taraj.
Gazeti hili lilimtafuta mwanaume huyo na kumuuliza juu ya ubuyu huo ambapo alisema; “Bado tuko kwenye maongezi, lakini sisi ni wazazi na hata juzi tulimpeleka mtoto kwa bibi yake ambaye ni Wema amuone, maana yule ni mtu muhimu sana kwangu,” alisema Petit man. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment