Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Maneno ya Batuli Kuhusiana na Moto Uliyo Teketeza Nyumba yake Jana Akiwa Kwenye Uzinduzi wa Kampeni CCM

Maneno ya Batuli Kuhusiana na Moto Uliyo Teketeza Nyumba yake Jana Akiwa Kwenye Uzinduzi wa Kampeni CCM

Staa wa Bongo movie Batuli, leo amepatwa na ajali ya kuungulia nyumba yake kwa moto wakati akiwa kwenye miangaiko yake ya kila siku katika uzinduzi wa kampeni uliyofanyika Jana Jangwani Dar es salaam.
Watu wengine wamehusisha swala hili na mambo ya chuki za kisiasa lakini me namshukuru Mungu hakuna aliyepoteza maisha wa kujeruhiwa katika ajali hii, ndani kulikuwa na mtoto wa ndugu yangu lakini jirani walivunja vioo na kumnusu lakini mali hakuna nilichookoa zaidi ya magari yangu tu"

Aliongezea kwakusema kwasasa yupo kwenye kikao kwaajili ya mipango ya kupata makazi mengine hapo kesho panapo majariwa. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips