Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Nape: Ni Upuuzi Mkubwa Mahakama ya Kimataifa ICC Kusema Inaangalia Uchaguzi wa Tanzania Kwa Karibu Kwani si Kazi yao

Nape: Ni Upuuzi Mkubwa Mahakama ya Kimataifa ICC Kusema Inaangalia Uchaguzi wa Tanzania Kwa Karibu Kwani si Kazi yao

Baada ya Muendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya kimataifa ya uhalifu (ICC) kusema kuwa wanaufuatilia kwa makini uchaguzi mkuu wa Tanzania kuhakikisha hakuna haki za binadamu zitakazo kiukwa, Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema anadhani ni upuuzi kwa mahakama hiyo kusema inaangalia uchaguzi kwani si kazi yao. 

Amesema kama kweli wanafuatilia mambo hayo basi wafuatilie na nchi za Ulaya.

Chanzo: (ITV).
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips