Ligi Kuu Uingereza inatajwa kuwa miongoni mwa Ligi maarufu zaidi Duniani hii inatokana kuwa na mashabiki kutoka sehemu mbalimbali Dunian, hata katika historia ya uuzaji wachezaji Ligi Kuu Uingereza bado inaongoza kwa wachezaji kutoka Ligi hiyo kuingia katika Ligi za nchi nyingine huwa wanauzwa kwa gharama.
August 14 nimeona nikusogezee List ya wachezaji ghali zaidi katika histori ya Ligi Kuu Uingereza. Ila list hii inaonyesha thamani ya bei aliyonunuliwa kipindi hicho na kulinganishwa na thamani ya pound ya sasa ingekuwa kiasi gani. Pound milioni 15 ya mwaka 1996 inathamani zaidi kuliko ya sasa.
Ada hizi za uhamisho zinatokana na baada ya kutathmini thamani ya pound kwa mwaka husika na sasa ingekuwa sawa na kiasi gani cha fedha. Hapo chini nimekusogezea wachezaji 10 ghali zaidi katika historia ya soka.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment