August 07 2015 tulizipata pichaz pamoja na story kutoka Ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam ambapo wasanii wa Muziki na Movie TZ kwa pamoja waliandaa party ya kumuaga Rais Jakaya Kikwete pamoja na kumpongeza Mgombea Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Hapa nimekusogezea hii video Rais JK alivyopita kusalimia msanii mmoja mmoja na kupiga nao selfie za nguvu kabisa !!
souce ayo tv & milard ayo.comWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment