Lakini sijawahi kusikia mtu akimsifia mkewe kuwa ana mashine tamu, ana manjonjo katika mechi, anajua kweli mchezo, anajua kukata mauno, n.k. why hatuwasifii kwa haya mambo?Wazee wenzangu ebu tujadili kwanini hatuwasifii wake zetu kuwa ni watamu?
Vijiweni: sehemu za kazi, bar, club, mikutanoni (mida ya break), vibarazani, kunywa kahawa,n.k. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment