Chama cha mapinduzi, CCM kimemteua Dr .Magufuli kuwa mgombea wa Urais 2015.
Uteuzi wa Dr. Magufuli umetokana na ushindi wa kishindo alioupata baada ya mkutano mkuu kukutana jana usiku kwa ajili ya kupiga kura ili kupata jina moja kati ya matatu yaliyokuwa yamependekezwa na Halmashauri kuu ya CCM.
Matokeo ni kama ifuatavyo
1.Magufuli.....87%
2. Amina.......10%
3.Migiro......3%
0 comments:
Post a Comment