Najua wapo ambao wako mahali ambapo hawezi kusikiliza TV wala kuangalia Radio ili kujua kinachoendelea Makao Makuu ya CCM Dodoma sasahivi, kimefanywa hiki kitu rahisi kabisa ili kama una simu yako, au kifaa chochote kinachotumia Internet unapata matangazo yote LIVE kutoka Dodoma muda wote kuanzia sasa.
Kila kitu kinachoendelea utakipata LIVE kwenye link >>> http://livestream.com/CCM/Uchaguzi2015
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment