Wema anawania Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ya chama hicho. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Home »
Wema Sepetu
» Picha: Wema Sepetu Akichukua Fomu za Ubunge Mkoani Singida
Picha: Wema Sepetu Akichukua Fomu za Ubunge Mkoani Singida
Hizi ni baadhi ya picha za staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu akiwa na team yake alipokuwa mkoani Singida akichukua fomu kwenye ofisi za chama cha mapinduzi (CCM).
Wema anawania Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ya chama hicho. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Wema anawania Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ya chama hicho. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment