Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Baada ya Lowassa KUKATWA........Vijana 30 wa CCM-Vyuo Kikuu Wahama na Kujiunga na CHADEMA

Baada ya Lowassa KUKATWA........Vijana 30 wa CCM-Vyuo Kikuu Wahama na Kujiunga na CHADEMA

VIJANA takribani 30 wa vyuo vikuu ambao ni wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), jana  wamesalimisha kadi zao za CCM katika tawi la Chadema lililopo Mwananyamala, jijini Dar es Salaam kwa madai kuwa hawakuridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea wa urais wa CCM.

Vijana hao wa vyuo vikuu mbalimbali waliokuwa wakiimba wimbo wa tunaimani na Lowassa wamekabidhi kadi zao za CCM kwa Kaimu Mwenyekiti wa Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni ya Chadema, Bi. Esther Semaja na kukabidhiwa kadi za uanachama wa Chadema. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips