Nora Bongo Movies |
Hivi nyinyi mnaoniambia mzee amuoni aibu loooo..hahahahhaaa mana mnafanya siku yangu iwe nzuri ni jinsi gani nawaumiza mpaka mnalopoka kama mmetoka usingizini.Hivi mimi mnaweza kujifananisha na nyinyi, hoooo ninamiaka mingi kweli na nimewazidi vingi sana, tabia, muonekano…haaaa mi sijagalagazwa ovyo nilijiheshimu tangu usichana wangu, nimeshafanya maisha yote hakuna cha ajabu kwangu nyi kinachowatoa roho sasahivi, tena nikiwa na mume wangu wa ndoa sio wakushobokea kwasababu nipate kitu na yeye anivuruge tu.
Sioni kipya na bado nawaumiza kichwa mkinitafari ni jinsi gani mnanipenda na mnanikubali moyoni. Asanteni kwa hilo mnazidi kunipa nguvu Mungu awabariki sana sijajua kabisa kama bado ninanguvu kiasi hichi, mbarikiwe sana tim matusi ila muombe sana muwe mnalipa mpaka age yangu mana sura zimeshawashuka watoto wadogo mwili ndo usiseme nikisimama na nyinyi mnaonekana vizee vya miaka 70 na mnavyotumika sipati picha sehem nyingine hata tukisimamishwa uc** bado i will look young puuuu natamani kuwatema mate niki imagin mlooooh mnataka nini mbona mambo ni yale yale
Embu tulieni watoto wakike mjiheshim yani na Mungu anavyojua kuwadhalilisha mnalopokaje mitusi yenu wenyewe nadhani mnajiangalia mlivyo used halafu mnawambia wenzenu mana mngekua hamko hivyo mmgekua na haya kutamka vitu vya ajabu kama ujawai onamm na myinyi tofauti sanaaaana kama bado mlikua hamjaja mjini wakati na miaka 26'mi sikua kama nyinyi nivute nikuvute na wala umaarufu sijauvalia bukta ndo mana haunisumbui wala haunipeleki puta naishi maisha yangu an am happy siofii chochote zaidi ya akhera yangu nipo tofauti nyinyi mnaona kama dunia imeshushwa jana kila kitu kwenu kipya
Muwe na hekima kama adabu imewashinda mbarikiwe katika kheri na maovu Mungu awaondolee watoto wazuri najua sio kosa lenu poleeeeni eeeh ndo mliambiwa umaarufu huo ooooo poyeeeee vitotooooo chilieeee come to dadaaaaa. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment