LOWASSA Vs MAGUFILI......NANI ZAIDI? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Home »
Edward Lowassa
,
John Magufuli
» Hatimaye Ngoma Sasa ni Lowassa vs Magufuli....Kura yako Utampa Nani?
Hatimaye Ngoma Sasa ni Lowassa vs Magufuli....Kura yako Utampa Nani?
Hii ndio nafasi ya kipekee UKAWA kuchukua uongozi Tanzania, inanikumbusha msisimko tuliokua nao mnamo mwaka wa 2002, tulivyoangusha KANU na kuanza kujenga nchi upya. Yaani CCM wakikwepa hii na kuponea, basi ndio kabisa watabaki uongozini. Lazima walijua Lowassa atahamia upinzani na wapo wamejipanga pia. Yetu macho, tujionee siasa ya Bongo.
LOWASSA Vs MAGUFILI......NANI ZAIDI? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
LOWASSA Vs MAGUFILI......NANI ZAIDI? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
Labels:
Edward Lowassa,
John Magufuli
0 comments:
Post a Comment