Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Edward Lowassa ni Msafi, Lakini Kwanini Aliitwa Fisadi?

Edward Lowassa ni Msafi, Lakini Kwanini Aliitwa Fisadi?

Kwa nini lowasa aliitwa fisadi, hii ni kwa sababu yeye kama waziri mkuu, msimamizi mkuu wa serikali alitakiwa akemee inshu zote za richmond, lakini, yeye alipata shinikizo kutoka kwa Mkulu. Ndiyo maana Kuepuka Mkulu asianguke ilibidi Lowasa ajiuzuru. Vinginevyo Mkulu angetawala Miaka mitatu tu, Na serikari yake ingehanguka. Sasa leo Loawasa ataongea Ukweli kuhusu Richmond,ataongea Vitu vyote ambavyo Mwakyembe aliviacha Kuongea katika Riport yake ,Kwa kuilinda Ikulu.Hata Ongea hayo tu, Pia ataongea kuhusu wamiliki Halisi wa IPTL, pia atagusia Mambo ya Escrow ni nani aliyeengeer Mchakato wote wa Escrow, Ataelezea ni nani Anamiliki Kampuni ya Simba Trust, iliyochukua Bilion 75 kwenye Kashifa ya Escrow. Riport yote ya Takukuru ipo hewani kuhusu Esrow. Ndugu yetu Lowasa anatubu na anarudi kundini, Kundi la makamanda, kundi la Kutetea nchi. The same apply hata Pinda angejiuzuru kwenye kashifa ya Escrow naye angeitwa Fisadi. (Tatizo la lowasa ni Kukubali kujiuzuru kwa manufaa ya Serikali ya CCM)

Lowasa atatuambia Fisadi mkuu wa Hii nchi ni nani? Kaeni Mkao wa kura , watu wameshaanza kukimbilia nje ya nchi kuangalia pesa zao kama zipo Salama. Na ninawambia Kuwa SIKU LOWASA ANAAPISHWA RASMI kama RAISI wa nchi hii.

kuna Watu watakimbia hii nchi, kwa sababu Uozo wote utawekwa Wazi ,hatutangalia Mtu,wa cheo chake Sijui alikuwa nani, Wote ni MAHAKANI.

Tutaendelea kuijenga hii nchi, kila mtanzania afaidike na Rasilimali za nchi yake.
Karibu Lowasa, karibu Ukawa.

Ahsanten.
Bintiwangara. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips