Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » AJALI Mbaya ya Basi Mkoani Dodoma, Abiria zaidi ya 20 Wamefariki Dunia na 38 Wamejeruhiwa...

AJALI Mbaya ya Basi Mkoani Dodoma, Abiria zaidi ya 20 Wamefariki Dunia na 38 Wamejeruhiwa...

Taarifa kutoka mkoani Dodoma zinasema zaidi. Abiria zaidi ya 20 wamefariki dunia usiku huu, huku zaidi ya abiria 38 wakijeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya SIMIYU EXPRESS walilokua wakisafiria kutoka Mwanza kwenda DSM kupasuka tairi na kuacha njia na kugonga mbuyu na kisha kupinduka.

Taarifa zinasema ajali hiyo ni mbaya sana kuwahi kutokea mkoani Dodoma, hadi hivi sasa bado kuna miili haijatolewa kwenye mabaki ya basi hilo kutokana na kuharibika vibaya na kubaki mithili ya nyama.
MWENYEZI MUNGU AZILAZE MAHALA PEMA PEPONI ROHO ZA MAREHEMU NA KUWAPA NGUVU FAMILIA ZOTE ZA MAREHEMU AMEENWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips