Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Picha nyingine mitandaoni ikimuonesha Rais Mugabe amesinzia kwenye sherehe Nigeria !!

Picha nyingine mitandaoni ikimuonesha Rais Mugabe amesinzia kwenye sherehe Nigeria !!


Mugabe-Sleeping-600x369
Sio picha ya kwanza kutoka ikimuonesha Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe akiwa amesinzia kwenye matukio mbalimbali makubwa.. safari hii kapigwa tena picha akiwa amesinzia wakati wa sherehe za kuapishwa Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari.
Waziri wa Mawasiliano Zimbabwe, Prof. Jonathan Moyo kaingia kwenye ukurasa wake @Twitter na kupost Tweets zilizoonesha hajaipenda hii !!
MUGABE II mugabe III

Sahara Reporters wanalaumiwa moja kwa moja kwa kupiga picha hiyo na kuisambaza mitandaoni.
Hapa nina picha ambazo waliwahi kupigwa viongozi wengine wakubwa baada ya kukutwa wamesinzia.
sleepypoliticians9
Abdurrahman Wahid, picha hii ilipigwa wakati huo alikuwa Rais wa Indonesia
Naoto Kan, aliwahi kuwa Waziri Mkuu Japan ana Waziri wa Fedha vilevile
Naoto Kan, aliwahi kuwa Waziri Mkuu Japan na Waziri wa Fedha vilevile
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips