Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Kujiuzulu kwa Blatter haijatosha, kazi inaendelea na Maofisa wa Marekani !!

Kujiuzulu kwa Blatter haijatosha, kazi inaendelea na Maofisa wa Marekani !!

blaaa
Ikiwa ni saa chache baada ya Rais wa Shirikisho la soka duniani FIFA, Sepp Blatter kutangaza kuwa atajiuzulu wadhifa huo kuna habari  nyingine zinamuhusu Rais huyo.
Rais huyo ambaye alipewa madaraka ya kuongoza Shirikisho hilo siku chache zilizopita ikiwa ni awamu ya tano, kingine kilichochukua Headlines kwa sasa ni ishu ya Sepp Blatter kufanyiwa uchunguzi na maafisa wa Marekani ili kujua kama anahusika na tuhuma za rushwa ambazo zinawahusu maafisa wengine saba wa FIFA.
Hata hivyo Blatter amesema ataendeleaa kukaa madarakani hadi utakapoitishwa mkutano wa kumpata Rais mwingine kati ya December 2015 na March 2016.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips