Picha hii imekuwa ikisambaa kwa kasi zaidi mtandaoni huku kila mtu akiichombeza kwa maneno yake ukizingatia siku za hivi karibuni kuna baadhi ya mastaa wa kiume wa hapa Bongo wamekuwa wakipiga picha za namna hiyo na kuzua ‘stories’ mitandaoni wakati huu huo huko nchini Marekani stori za baba mlezi wa mwanamintindo Kim Kardashian, Bruce Jenner kijibadili jinsia zimeshika kasi.
Hivi ni vijimambo tu jamani.
Mzee wa Ubuyu WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment