Baada ya Shetta kumshirikisha Kcee
kwenye ngoma yake ya Shikorobo ambayo mpaka sasa inafabya vizuri, sasa
msanii huyo amemgeukia Diamond na kuamua kuachia naye nyimbo yake mpya
ya ‘Love Boat’.
Nakukaribisha hapa kusiiliza mtu wangu..
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment