Home »
UDAKU
» Nancy Sumary na Dada Yako Nakaya Kunani ? Je ni Kweli Kuna Beef Kati ya Hawa Ndugu Wawili?
Nancy Sumary na Dada Yako Nakaya Kunani ? Je ni Kweli Kuna Beef Kati ya Hawa Ndugu Wawili?
Nasikia Habari ya Mjini ni kuwa Hawa Ndugu wawili wa Damu Nancy Sumary
na Dada yake Nakaya Kwa sasa Haziivi Hata Kidogo...Je Kunani Ama ni
Uzushi tu ...Embu kwa Anaye jua A-Z atujuze....Maana Sitaki Kuamini
Jinsi walivyokuwa wanapendana..eti sasa kila mtu kivyake....
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment