SHIDA KUUBWA TULIYONAYO WASANII ukiwa na mwanaume kijana utaambiwa
hufanani nae, ukiwa na mbabu utaambiwa vijana wote waliojaa mjini mbabu
wa nini, ukiwa na kijana ambaye hana hela utaambiwa na umaarufu wote huo
umekosa mwanaume mwenye hela, ukiwa na tajiri utasikia anasura mbaya
lakini pesa sabuni ya roho, ukiwa na mzungu mzee utaambiwa huna lolote
usubiri madakesi tu, ukiwa na mzungu kijana utaambiwa mzungu gani hana
hela.
Sasa je tufanyaje? Tuchagulieni nyie basi wa kufanana na sie. Lakini
mimi naangalia moyo wangu unavyoniambia siangalii ya binadamu hasa sisi
weusi maneno hayakauki.
By Lucy Komba on Instagram
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment