Nisha aliuanika ukweli huo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo alitupia picha hii na kuandika; “Nimeamka nimejikuta nna mabadiliko mwilini”. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Home »
Bongo Move
» Msanii Salma Jabu ‘Nisha’ Abadili Jinsia Yake........Asema Aliamka Asubuhi na kujikuta Kawa Mwanaume!
Msanii Salma Jabu ‘Nisha’ Abadili Jinsia Yake........Asema Aliamka Asubuhi na kujikuta Kawa Mwanaume!
Staa wa kike wa bongo Movies mwenye visa na vituko, Salma Jabu ‘Nisha’
amabaye kwa sasa anatamba sokoni na MTAA kwa MTAA amewaaacha hoi
mashabiki wake baada ya kuwaeleza kuwa viongo vyake vimebadilika
na sasa sio mwanamke tena.
Nisha aliuanika ukweli huo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo alitupia picha hii na kuandika; “Nimeamka nimejikuta nna mabadiliko mwilini”. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Nisha aliuanika ukweli huo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo alitupia picha hii na kuandika; “Nimeamka nimejikuta nna mabadiliko mwilini”. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment