Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Kim Kardashian ‘alivyomsuprise’ Kanye West kwenye Birthday yake…(Pichaz&Video)

Kim Kardashian ‘alivyomsuprise’ Kanye West kwenye Birthday yake…(Pichaz&Video)

kanye8
Jana jumatatu ilikua siku ya kuzaliwa ya Kanye West na alitimiza umri wa miaka 38.
kanye 

Mke wake Kim Kardashian aliamua kumfanyia suprise kwa kumkodishia uwanja wa kikapu wa Staples Center uliopo Los Angeles kwa siku nzima ya jana ambao hutumika kwa ajili ya timu za mpira wa kikapu Marekani.
kanye2
Kanye alitumia muda wake mwingi kucheza kikapu na marafiki zake wa karibu katika uwanja huo ambao  kwa mujibu wa mtandao wa E News Kim aliulipia kiasi cha dola 110,000.


kanye3
Baadhi ya watu wa karibu waliolikwa kwenye tafrija hiyo ni Justin Bieber, Tyga, Pusha T na John Legend ambaye alikua MC wa shughuli hiyo.
kanye5
Kim pia aliwalipa makocha wa Lakers kwa ajili ya kuchezesha mchezo huo pamoja na baadhi ya wasichana ambao waliongeza mvuto kwa kumshangilia mume wake muda wote.
kanye7 

kanye12  


kanye10 

kanye13 

kanye9 



WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips