Niliwahi kukusogezea story kuhusu Movie
ya Going Bongo ambayo uzinduzi wake ilikuwa APRIL 11 2015 maeneo ya
Tegeta, DAR.. headline nyingine kuhusu uzinduzi ni hii ambayo nimekutana
nayo Daily Mail Online..
Headlines inahusu ilivyokuwa kwenye uzinduzi huo ndani ya London Uingereza.. mastaa wengi wa Uingereza walitokezea kwenye Red Carpet ya uzinduzi huo na kufanya story hiyo kupata headlines zenye ukubwa wake mitandaoni.
Hii inaingia kwenye historia kubwa ya
kuwa movie ya kwanza iliyotengenezwa ndani ya TZ ambayo imewahi
kuandikwa na mitandao ya Magazeti makubwa Uingereza kama Daily Mail.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment