Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Davido kwenye headlines nyingine baada ya hii post yake @Instagram

Davido kwenye headlines nyingine baada ya hii post yake @Instagram

DAVIDOO
Kuna vitu vimeendelea mitandaoni kwa muda mrefu, labda wakati mwingine mitandao ya kijamii huwa haina taarifa za ukweli kuhusu ukweli wa ishu zenyewe.
Staa wa muziki toka Nigeria, Davido aliwahi kuingia kwenye headlines baada ya kuweka post ambazo watu walihisi kwamba jamaa hakuwa na furaha na ushindi wa Diamond Platnumz kupata Tuzo tatu South Africa na pia Idris kuibuka na Ushindi wa BBAHotshots mwaka 2014.
Davido kaweka post hii dakika chache zilizopita kwenye ukurasa wake @Instagram, ameweka bendera ya Tanzania alafu hajaandika chochote zaidi ya kuweka alama ya love !!
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips