Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Wema Sepetu Ajibu Mapingo..Amchukua Idriss wa Big Brother Kufanya Bonge la Party Mwanza Kesho Wakishirikiana na Instagram Parties

Wema Sepetu Ajibu Mapingo..Amchukua Idriss wa Big Brother Kufanya Bonge la Party Mwanza Kesho Wakishirikiana na Instagram Parties

Yakiwa yamebakia masaa machache tu ile party iliokua ikisubiriwa kwa hamu Zari All White party kufanyika jijini Dar.
Pati ambayo imeandaliwa na Zari aka Mrs Chibu Dangote pamoja na mpenzi wa zamani wa Wema Sepetu bwana Diamond Platnumz aka Chibu Dangote…

Madam Wema Sepetu nae akaona alipize kisasi kwa kwenda kufaya party yake jijini Mwanza kesho May 2nd, Jembe ni Jembe Club,  akiwa na Mshindi wa Big Brother 2014 Idris Sultan. Kukiwa na fununu kwamba kwa sasa kishkwambi kipya cha Milionea mtoto huyo ni Wema Sepetu.. Je tutegemee drama jipya mjini?
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips