Bang
ni miongoni mwa Majarida ya Tanzania ambayo yamekuwepo kwenye headlines
kwa muda mrefu ambapo time hii kuna toleo jipya ambalo Waziri wa mali
asili Lazaro Nyalandu na mke wake ndio wamecover.
Humo ndani wanazungumzia maisha yao, pia
Waziri anazungumzia ishu yake ya kuutaka Urais wa Tanzania,
amewazungumzia vijana wa Tanzania na mengine mengi hivyo ukiipata nakala
yako utakutana pia na wengine akiwemo mtangazaji Sporah.
0 comments:
Post a Comment