Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Kajala 'Skendo za Kutengenezwa Juu Yangu Zinamnyima Raha Mtoto Wangu, Wenzake Humnyooshea Vidole Kila Wakati Kwa Taarifa zisizo Sahii'

Kajala 'Skendo za Kutengenezwa Juu Yangu Zinamnyima Raha Mtoto Wangu, Wenzake Humnyooshea Vidole Kila Wakati Kwa Taarifa zisizo Sahii'

Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja ameweka wazi kuwa mipango yake ya kuzaa watoto iko palepale na kwamba safari hii angependelea kuzaa watoto mapacha.

licha ya kwamba Kajala ana binti yake aitwae Paula,atahakikisha anamtafutia wadogo zake kwani hata yeye amekaa kweny falimia ya watoto wengi na angependelea na yeye kuwa na familia kubwa.Kajala amebainisha kwamba hafikirii kupata mtoto na mme wake ambae kwa sasa yuko gerezani bali anatafuta mwanaume mwenye malengo ya maisha na mwenye kujali familia.

Licha ya kuwa na mipango yote hiyo Kajala ameelezea ugumu anaoupata katika lengo lake la kuilea hiyo familia kwani hadi sasa binti yake paula anakosa raha kutokana na skendo zinazotengenezwa dhidi yake.Amesema hali hyo iimekua inamnyima raha binti yake huyo hata anapokua shuleni kwani wenzake humnyooshea vidole kila wakati kutokana na taarifa ambazo alisema si sahihi kuhusu mama yake..

Mwananchi WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips