Je bacteria walioko mle wanaeza kuingia na kushambilia uke? Je pia kutokana na unyevu unyevu wa kambani ule unaweza ukapitisha mpaka ukeni na kuleta fangasi? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Je Wajua Nguo za Ndani za Kimkanda tu zina Madhara kiafya Kwa Mwanamke?
Mbali nakua comfortable pindi uzivaapo wadau wanasema zinasababisha
magonjwa kutokana na muingiliano wa kamba sehemu ya anus inayotembea
mpaka sehemu ya uke.
Je bacteria walioko mle wanaeza kuingia na kushambilia uke? Je pia kutokana na unyevu unyevu wa kambani ule unaweza ukapitisha mpaka ukeni na kuleta fangasi? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Je bacteria walioko mle wanaeza kuingia na kushambilia uke? Je pia kutokana na unyevu unyevu wa kambani ule unaweza ukapitisha mpaka ukeni na kuleta fangasi? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment