By:JB on InstagramWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Home »
Bongo Move
» JB Atoa Tahadhari Kuhusu ya Matapeli Hawa
JB Atoa Tahadhari Kuhusu ya Matapeli Hawa
Tahadhari: kuna watu wametengeneza akaunti feki yenye picha zangu.na
wanasema kwamba Jerusalem inahitaji wasanii wapya.na wanawapigia simu
watu huku wakiwatoza kiasi cha tsh 45000 hadi laki kama ada ya
kujiandikisha.watu hawa ni matapeli.na wamechukua hela nyingi kwa
watu.jamani hatuna utaratibu huo na usikubali kutoa pesa...Fb watu
wanaitumia vibaya sana..
By:JB on InstagramWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
By:JB on InstagramWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment