Huyu ndiye mtoto wa Aunty Ezekiel na Mose Iyobo anaitwa Cookie
Mwigizaji wa filamu za Bongo, Aunty Ezekiel alijifungua mtoto wa kike
siku ya Alhamis May 21. Mtoto huyo wa Aunty Ezekiel ambaye baba yake ni
dansa wa Diamond aitwaye Mose Iyobo, amepewa jina la Cookie.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
Labels:
Aunty Ezekiel,
Moses Iyobo
0 comments:
Post a Comment