Umati wa Walemavu wamefunga makutano ya barabara katika mataa ya Ilala
na kusababisha magari kutokupita...Walemavu hao wanadai vibanda vyao vya
kufanyia biashara vimevunjwa na jiji usiku na kuchukua baadhi ya bidhaa
zao ...
Madai yao makuu ni kwa serikali kwamba haiwajali, Bora iwaue tu kuliko
kuachwa wakiishi kwa tabu huku vibanda vyao vilivyopo sokoni Karume
vikibomolewa.
Naripoti toka eneo la tukio.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment