Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Bil 280 zitamfanya Cristiano Ronaldo avue jezi ya Real Madrid na kuhama Spain?

Bil 280 zitamfanya Cristiano Ronaldo avue jezi ya Real Madrid na kuhama Spain?

C Ronaldo II 
Ziliwahi kukaa story kwenye magazeti na mitandao mikubwa ya habari duniani kwamba staa wa soka, mreno Cristiano Ronaldo atarudi kuichezea klabu yake ya zamani, Man United.. ikapita muda hilo halikutokea.
C RonaldoImekuja nyingine, tayari imeanza kuchukua headlines kwamba Ronaldo ataondoka Madrid, safari yake inakuwa kwenda wapi? Mezani dau limewekawa kiasi gani? Majibu niko nayo tayari.

PSG offer €125 for Ronaldo”—kichwa cha habari chenye wino mzito kwenye gazeti la michezo la Madrid, Hispania… story ndani ni kwamba Klabu ya PSG ya Ufaransa wametangaza dau la Euro Mil. 125 (sawa na kama Bil. 280 hivi) kwa ajili ya kumvuta staa huyo ajiunge na kikosi chao japo mwenyewe bado hajatolea majibu kuhusu ishu hiyo.. tetesi nyingi za ishu za soka mara nyingi zinakuwa na chembe chembe za ukweli hivi, na hii je?
Story nyingine inasema staa huyo ni kama hayuko tayari kuondoka Madrid mpaka mkataba wake utakavyoisha msimu wa 2017/18.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips