In
myshoes ni TV show ya Wema Sepetu ambayo huwa inaonekana kwenye TV na
baadae inahamishiwa kwenye Internet ambapo kwenye hii ya mwisho kuwekwa
YouTube, wanaonekana ndani yake Wema na Ommy Dimpoz walivyokua wakipiga
zile picha.
Wengine wanaoonekana ni Aunty Ezekiel ambae
alionekana kumlisha keki mwanaume anaedhaniwa kuwa Mose Iyobo, dancer
wa Diamond Platnumz anaetajwa kuwa ndio anahusika na unauzito wa Aunty
japo Aunty mwenyewe amekua akikanusha.
Kwenye dakika ya 19 ya hii video
birthdayboy Martin Kadinda alitaka Mose Iyobo aingie ndani kulishwa keki
baada ya kumuona nje ya geiti, Martin alisema ‘kuna yule mwingine nimekuona nae nje, kama ofisi yake haimruhusu mi namtaka aje hapa, si kafika nje?!!!!! baada ya hapo Aunty aliekua akicheka alisema ‘tutalala njaa Martin’
Mwanaume anaeminika kuwa Mose Iyobo aliingia na kumkumbatia Aunty kwa nyuma na kisha kushea keki kwa kulishwa na Aunty mwenyewe.
Kwenye hii episode pia anaonekana Penny ambaye ni girlfriend wa zamani wa Diamond Platnumz.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment