Damian Soul ambae Mentor wake AY Walipoteza mbaya week hii kwenye shindano la Maisha Superstar la Maisha Magic Aliimba wimbo uitwao"Nchi ya kitu kitu kidogo" tazama hapa..
Nae mshishiriki mwengine wa Tanzania Myra amabye mento wake SHAA alifanya vizuri pia kwa kufanya mash-up ya nyimbo za Beyonce Drunk in love na Diva
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment