‘Jupka‘ ilikuwa jina la ngoma ya mkali toka Naija, J Martins akiwa amemshirikisha Fally Ipupa.. baada ya hapo zikafuatia nyingine nyingi tu zenye Fleva mchanganyiko wa West Africa na Congo DRC.
J Martins kafanya mchanganyiko huu mwingine, kamshirikisha Antoine Christophe Agbepa Mumba aka Koffi Olomidé ambaye ni icon na legend wa muziki Afrika.
J Martins na Koffi Olomide.
Hii ni remix ya hit single yake ya “Dance 4 Me” video, unaweza kuicheki hapa…
0 comments:
Post a Comment