Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » SIWEMA Ajibu Mapigo Amuonyesha Serengeti Boy aliyefumaniwa Naye..Ni Baada ya Nay wa Mitego Kuanza Kuishi na Shamsa Ford

SIWEMA Ajibu Mapigo Amuonyesha Serengeti Boy aliyefumaniwa Naye..Ni Baada ya Nay wa Mitego Kuanza Kuishi na Shamsa Ford

Ni kama Vile Kujibu Mapigo..Mrembo Siwema ambaye alikuwa Mpenzi wa Nay wa Mitego na kumzalia mtoto mmoja na kisha kupigana chini kwa tuhuma za kumfumania laivu akiwa na Kiserengeti Boy ameanza kumuweka wazi katika mitandao kijana ambae ni mpenzi wake kwa sasa..

Inasemekana mapenzi na Kijana huyo hayakuanza jana wala leo ili yapo muda mrefu ila walikuw wakifanya kwa siri mpaka siku Nay wa mitego alipofumania mchezo na kuamua kuchukua mtoto wake na Kusema...

Kijana huyu ambae anaonekana ni mdogo watu wengi wa huko mwanza wamempa jina la kiserengeti boy..Kwa sasa anaonekana kila kona akiongozana na Siwema bila kificho kama zamani..
Siwema Akiwa na Serengeti Boy na Rafiki yao
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips