Chelsea
ndio vinara wa ligi kuu ya England kwa kuongoza huku ikiwa na pointi 67
mkononi lakini unaambiwa licha ya Arsenal kushikilia nafasi ya tatu
imeweza kufanya vizuri na kuibuka na tuzo za kila mwezi kwa kufanya
vizuri.
Mshambuliaji wa Arsenal Oliver Giroud amefanikiwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Machi katika ligi kuu ya England baada ya kazi yake nzuri akiwa na kikosi hicho.
Giroud raia wa Ufaransa amepata tuzo ikiwa ni ya 16 tangu kuanza kutolewa.
Naye
kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amefanikiwa kutwaa tuzo ya kocha bora
wa ligi kuu ya England kwa mwezi Machi ikiwa ni mara ya 14 kwake kutwaa
tuzo hiyo.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment