Source: Raia Tanzania
My take:
Nani amemuuliza Nape hayo anayokanusha? Kama yanaandikwa kwenye mitandao na hayana ukweli kwa nini asiyapuuze? Anataka kitwambia kila kinachoandikwa kwenye mitandao huwa anakikanusha? Mbona wanaodaiwa kusaidiwa hawakanushi? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment