Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Mourinho kaiunga mkono kauli ya Arsene Wenger, unadhani wanaikubali Ballon d’Or?

Mourinho kaiunga mkono kauli ya Arsene Wenger, unadhani wanaikubali Ballon d’Or?

Ars & Mourinho 
Unaikumbuka kauli ya kocha wa ArsenalArsene Wenger aliyoitoa kuhusu kupinga kutolewa kwa tuzo za mchezaji bora wa dunia za Ballon d’Or?
Kauli yake hiyo ilionekana kupewa uzito na sasa ni zamu ya kocha wa ChelseaJose Mourinho ambaye ameungana na kauli ya Wenger na kusema Kocha huyo yupo sahihi na kwamba lengo la soka linabadilika kutoka timu za soka hadi kwa mchezaji binafsi.
Tuzo hiyo inaonekana kutawaliwa na wachezaji wawili Lionel Messi pamoja na Cristiano Ronaldo toka mwaka 2008 na mwaka huu tena imekwenda kwa Ronaldo ikiwa ni mwaka wa pili mfululizo baada ya kufunga magoli 52 katika mechi 43 alizokuwa amecheza.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips