Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Lulu: Kuharibu ni Rahisi Kuliko Kujenga 'Habari za Ubaya Zinasambaa Sana Kuliko za Kujenga'

Lulu: Kuharibu ni Rahisi Kuliko Kujenga 'Habari za Ubaya Zinasambaa Sana Kuliko za Kujenga'

Staa wa Bongo Movies,  Elizabeth Michael ‘Lulu’ anasema baadhi ya watanzania wanapoteza muda wao katika mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuwaumiza wengine na kuwatusi bila sababu, huku wakiwa makini kusikiliza mabaya na kuyavumisha tofauti na taarifa njema zenye faraja kwa jamii.

Ukiwa kama Binadamu kila jambo ukitaka kulisambaza kwanza tafakari katika nafsi yako, je huyo unayemtenda hana maumivu kama mwanadamu, tumekuwa mabingwa wa kuwaumiza wengine kupitia mitandao ya kijamii bila huruma,”

Sijui kuna mtu anayeombea maumivu kila mara kwani iwe Lulu kila jambo baya, na asiwe mtu mwingine hiyo inaonyesha hata wanaojiita marafiki zangu waweza kuwa maadui zangu,”anasema Lulu.

Lulu anasema kuwa kuharibu ni rahisi sana kuliko kujenga kwani mara nyingi habari za kujenga ubaya zinasambaa sana kuliko wema, lakini anaamini kuwa Mungu ndio kila kitu na ajua ukweli wa kila jambo na hawezi kumhukumu mtu yoyote. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips